Emmanuel Mathias 'MC Pilipili' (kulia) akifanyiwa mahojiano ndani ya studio za Global TV Online jioni hii. Pembeni ni Mtangazaji wa Global TV Online, Pamella Daffa 'Pam Daffa'.
MC Pilipili akijibu mojawapo ya maswali aliyoulizwa na Pam D.
Pam D akimhoji MC Pilipili (hayupo pichani).
MC Pilipili akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigongo baada ya mahojiano hayo.
MC Pilipili akipozi na wanahabari wa Championi.
MC Pilipili akipozi na Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sifael Paul.
MC Pilipili akiwa na Mchara Katuni, Aloys Jacob.
MC Pilipili katika pozi ndani ya Global TV Online.
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook
0 comments:
Post a Comment