KABAANG! Mume aliyejulikana kwa jina moja la Ngosha, mkazi wa Mabibo jijini Dar, amemfumania mdogo wake aitwaye Jazira akiwa chumbani na mkewe Jack wakiivunja amri ya sita ya Mwenyezi Mungu.
Picha tofauti juu zikionesha mke wa mtu na mgoni wake katika fumanizi liliotokea.
Tukio hilo lilitokea Jumanne iliyopita saa 12 alfajiri ambapo ilidaiwa kuwa Jack alikuwa chumbani na mwanaume huyo ambaye ni mdogo wa mumewe wakipeana maraha. Imedaiwa kuwa, wawili hao walikuwa wakimtegea Ngosha akitoka kwenda katika shughuli zake, Jazira alikuwa akizama katika chumba cha kaka yake na kufanya mchezo wa kikubwa kna kwamba na yeye alichangia
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook
0 comments:
Post a Comment