KWA SASA MAMBO SI MAMBO KWEYE HII DUNIA YA ALLAH. UFUSKA NA UFIRAUNI UNAFANYIKA KILA KONA YA DUNIA.....NDIO MAANA UNASIKIA MARA WANAFUNZI, MARA WALIMU, MARA WASANII, MARA MAHAUSIGELI NA MAHAUSIBOYI NA KADHALIKA.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgpHNk6UmPIyRMiEAbacGhYCROenF_D_MhmmP-27oFKbQiW5PWgbaVZPphXXqz58WAXG7_EQUoJ1NkBi2KW9O0ubLW4Ypt0aXl7EcvLNtGcJysqh6hVLAKiHIVRC4oyViSNijGP_c2au014/s400/balaa.jpg)
Timbwili lilitokea katika moja ya nyumba hapa mjini Magharibi baada ya mtu mmoja kumnasa mpangaji wake kutoka Unguja akimgongea mke wake huku huyo mama akipiga makelele ya utamu kama akakufa vile.
Kinachokera zaidi huyo mpangaji, inasemekana kaamia hapa si zaidi ya miezi miwili iliyopita, na zaidi, hawa wanandoa walioana si zaidi ya miezi mimne iliyopita
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook
0 comments:
Post a Comment