Monday, 13 October 2014

Katika warembo wa Kitanzania wakali, huyu naye Ni Mkali Kinoma








Beauty of the day: Stella “Starlisha” Tillya AKA Chagga Barbie. Wengi wenu nadhani mnamfahamu kama “yule mrembo wa Kitanzania aliyeuteka moyo wa rapper Prezzo wa Kenya.” Anakula bata huko kwenye baridi kali, Minnesota, USA. Ana blog yake ya fashion na burudani, ambapo ndipo zilipotoka picha hizi. Picha zote kutoka katika blog yake Tanzanite Glamour.
                     ANKO SAM BLOG

Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment