Wednesday, 23 July 2014

BREAKING NEWS!! VIUNGO VYA MIILI YA WATU VYA KAMATWA NDANI YA MIFUKO YA PLASTIKI ENEO LA BUNJU USIKU HUU.


 Mmoja ya Kiungo cha Mguu
 Baadhi ya Mifuko ambamo Maiti izo zilikuwa zimewekwa
 Moja ya kichwa cha Binadamu ambacho kimetolewa katika moja ya Mifuko hiyo
 Umati wa watu wakiwa wanashuhudia tukio hilo muda huu
 Watu zaidi wakiwa wanaongezeka katika eneo la Tukio

Mpaka tunaondoka eneo la Tukio Viungo hivyo vimechukuliwa na  Jeshi la Polisi kwa Uchunguzi zaidi, Taarifa kamili italetwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es salaam.

Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment