
Mashabiki wa Simba wakiingia kwa mbwembwe uwanjani kushuhudia mechi dhidi ya watani wao wa jadi Yanga, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Mashabiki wa Yanga wakikaguliwa kabla ya kuingia uwanjani katika mechi hiyo dhidi ya watani wa
jadi

Mashabiki wa Yanga wakiingia kwa mashamu shamu kushuhudia mpambano dhidi ya Simba katuika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara

Okwi wa Simba akiomba dua kabla ya kuingia Uwanjani

Kikosui cha Simba kilichopambana na Yanga

Kikosi cha Yanga kilichopambana na Simba

Kipa Ivo Mapunda wa Simba akimpongeza Kipa kinda Manyika Peter wa Simba kwa kufanya vizuri katika mechi hiyo

Kipa wa Yanga Juma Kaseja akimp[ongeza Manyika Peter wa Simba
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook
0 comments:
Post a Comment