
Shemeji yangu mchumba wa kaka yangu naona kama anaelekea kubaya coz hii ni mara kama ya tano hivi ananitumia picha za mitego, kwakweli mimi sasa hivi niko chuo lakini sijui nikirudi nitaangaliana nae vipi, Pia mara nyingi analazimisha aje kunitembelea anipeleke swimming. Simuelewi kwamba ni mapenzi ya kawaida au kuna jambo..!!? mmmhh Sielewi.
ANKO SAM BLOG
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook
0 comments:
Post a Comment