Friday, 17 October 2014

Rihanna Awashtua Watu Kwa Kubeba Bunduki Hadharani


Rihanna Mwanamuziki Asieisha Vituko Ameamua Kubeba Mkoba Unaofanana Na Bunduki Huku Akijiachia Nao Hadharani Kitu Ambacho Watu Wamejikuta Wanamshangaa Na Kujiuliza Maswali Mengi Bila Kupata Majibu Na Sio Mara Ya Kwanza Kubebea Mikoba Inayofanana Na Vitu Vya Aina Mbalimbali




Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment