Friday, 17 October 2014

Burundi: Maiti zilizopatikana Ziwa Rweru zilitoka Rwanda



Vita vya maneno kati ya Rwanda na Burundi vinaonekana kuchukuwa sura mpya baada ya Burundi kutangaza kwamba maiti zilizopatikana mwezi uliopita kwenye ziwa Rweru linalozitenganisha nchi hizo mbili zilitoka Rwanda.



Waziri wa mashauri ya kigeni wa Rwanda akiwa pia msemaji wa serikali ya nchi hiyo amesema taarifa hizo ni uzushi kwa sababu maiti hizo zilipatikana na kuzikwa kwenye ardhi ya Burundi. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi. Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini

Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment