Thursday, 16 October 2014

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA NEC DODOMA


Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri kuu ya CCM(NEC) kilichofanyika katika ukumbi wa White House mjini Dodoma.Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula wakati wa ufunguzi wa kikao cha NEC mjini Dodoma leo.(picha na Freddy Maro).Baadhi ya wajumbe wa NEC wakiwa katika kikao hicho

Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment