Thursday, 16 October 2014

ORIJINO KOMEDI WANUNUA NYUMBA 7 ZA NSSF ZENYE THAMANI YA MILIONI 840








Kundi la vichekesho la orijino Komedi limenunua na kuwakabidhi nyumba 7 wasanii wa kundi hilo zwnye thamani ya shilingi milioni 840 ambapo kila nyumba moja imenunuliwa kwa shilingi milioni 120











Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment