Siku moja nilimuhadithia rafiki yangu kuwa nimelala kitanda kimoja na
mwanamke akiwa amevaa chupi na sidilia, na mimi nilikuwa na boksa tu.
Niliweza kuvumia na kuingia usingizini tena tukiwa tumekumbatiana na
hakijatokea kitu chochote.
Je imeshawahi kukutokea na wewe? Una mchango gani kuhusu hoja iyo?
ANKO SAM BLOG
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook
0 comments:
Post a Comment