Thursday, 16 October 2014

Jifunze Jinsi ya kumpa raha Mpenzi wako Mpaka akojoe mara tatu tatu huku akipiga makelele ya rahaaa!!!!!






WATU wanaingia kwenye uhusiano kwa sababu ya kusaka watu wa kushirikiana nao katika mambo mbalimbali yenye kuleta raha, sio vinginevyo. Unapokuwa kwenye uhusiano, unapaswa kufanya kila uwezalo kuhakikisha mwenzi wako anafurahishwa na yale ambayo unayafanya.

Ni suala la msingi kwa kila mwenye mpenzi, kuwaza namna gani afanye ili amfurahishe mwenzi
wake. Ni makosa makubwa kwa mfano mtu kuamini kwamba njia pekee ya kumfurahisha mwenzi wake ni kumpa fedha, kumnunulia chakula na mambo mengine kama haya, bali watu walio kwenye mapenzi, kitu cha kwanza kabisa cha muhimu kwao ni kuamini kuwa anaye mtu ambaye anamjali, anajali hisia zake na mambo mengine kama haya yanayohusiana hasa na mapenzi. Kuna watu wamekuwa wakifikiri kuhonga magari ndio maana ya mapenzi, lakini sio sahihi.Unaweza kuhonga na bado unachohonga mwanaume au mwanamke mwingine.
Hitaji la kwanza na la msingi sana kwa watu walio kwenye mapenzi, ni kuushika moyo wake, uamini kuwa unampenda na unahangaika kusaka njia za kumridhisha kwa mambo mbalimbali. Mapenzi yanajengwa na kauli; ni jambo la msingi sana kwa wanandoa au watu walio kwenye uhusiano kutoleana kauli nzuri. Kauli za kuheshimiana, badala ya kutukanana au kutoleana dharau za aina mbalimbali. Je, wewe kauli unazomtolea mwenzi wako ungezifurahia kutolewa? Kutoa kauli za matusi, dharau na mambo mengine kama haya ni vitu vinavyokatisha tamaa. Wakati mwingine unaweza kuringa kwamba acha nimfanyie fulani mambo kadri ninavyotaka yawezekana ni kumuendesha kama gari bovu, lakini mapenzi si fedha, mapenzi ni ile hali ya kumfanya mtu kupata amani. Mapenzi yanamuhitaji mtu kuzingatia matendo mazuri ya kutiana moyo.

Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment