Saturday, 18 October 2014

HIKI NDICHO AMEKFANYA MSANII T.I KTK TAMASHA LA FIESTA JANA......










Rapa kutoka nchini Marekani, Clifford Harris,'T.I' akitoa burudani muda huu kwenye tamasha la Fiesta Leaders Club jijini Dar.



Staa wa Bongo Fleva Nasib Abdul 'Diamond Platinum' akiimba juu ya jukwaa la Fiesta ndani ya Leaders Club.




ANKO SAM BLOG

Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment