Wanafunzi wakijipiga picha Bafuni Hostel Kwakweli
maisha ya chuoni ni experience tosha, kuna kila
aina ya mambo mi naamini kama umepitia
maisha ya chuo, umeshakaa hostel
basi utakuwa umejifunza mengi sana, na hakuna
jipya baada ya hapo. Wapo watu wanaokuja
chuoni wakiwa wapole na watiifu, lakini wape
muda tu kidogo utaona mara tayari ana boyfriend
mara tayari nae ameshaanza kwenda club.
Mambo ni mengi sana Vyuoni, kama mpenzi wako
ameenda chuoni ujue kuna kazi hapo ndugu
yangu muombee tu MUNGU amlinde, vishawishi
ni vingi na kuepukika ni ngumu sana inahitaji
ujasiri mno. YABIDI KUWA MAKINI TU
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook
0 comments:
Post a Comment