Saturday, 25 October 2014

DIAMOND PLATINUMZ AWA GUMZO USIKU HUU MLIMANI CITY




Staa wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond Platinum' akifanya yake usiku huu Mlimani City akiwa na wacheza shoo wake.

Diamond Platinumz akionyesha manjonjo usiku huu Mlimani City.



Diamond akicheza na mashabiki wake.

Akiendelea kutoa burudani.

Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment