
RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIFUNUA PAZIA KUZINDUA JENGO JIPYA LA CHAMA CHA KUWEKA NA KUKOPA (SACCOS) CHA KIJIJI CHA KINOLE, MOROGORO VIJIJINI AGOSTI 22, 2014

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua jengo jipya la Chama cha Kuweka na Kukopa (SACCOS) cha kijiji cha Kinole, Morogoro vijijini Agosti 22, 2014. Wengine ni Mama Salma Kikwete (kulia), Mbunge wa Viti Maalum Dkt Lucy Nkya (wa [ili kulia) na Mwenyekiti wa SACCOS ya Kinole Mzee Issa Ramadhani Kambi

Rais Kikwete akikagua jengo jipya la SACCOS ya Kinole baada ya kulizindua

Rais Kikwete akiwa ameongozana na Chifu Kingalu na Mwenyekiti wa SACCOS ya Kinole Mzee Issa Ramadhani Kambi baada ya kuzindua jengo la chama hicho kijijini Kinole

Rais Kikwete na Chifu Kingalu wakiwatuza wacheza ngoma vijana wa kijiji cha Kinole waliokuwa wakitoa burudani kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014

Rais Kikwete akimtambulisha Chifu Kingalu kwa Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook
0 comments:
Post a Comment