Sunday, 24 August 2014

MSHINDI WA UMISS TEMEKE 2014



Redd's Miss Temeke 2014, Sitti Mtemvu akipunga mkono huku akiwa na mshindi wa Pili, Salma Saleh (kushoto) na watatu, Neema Mollel, baada ya kutangazwa kuwa washindi wa shindano hilo.



Warembo walioingia Tano bora wakipozi kusubiri hatua ya kupambana katika kujibu maswali.



Miss Ilala, wakifuatilia shindano la Redd's Miss Temeke, Viwanja vya TCC Club, Chang'ombe,Dar es Salaam



Washiriki wa Redd's Miss Temeke, wakionesha shoo, wakati wa shindano hilo.



Mshindi wa Pili wa Redd's Miss Temeke 2013, Narietha Boniface, akimvisha taji Redd's Miss Temeke 2014, Sitti Mtemvu baada ya kuibuka mshindi katika shindano hilo, TCC Chang'ombe

Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment