Thursday, 9 October 2014

JIDE, AY LAIVU BILA CHENGA! SHUHUDIA MWENYEWE

 Mwanadada asiyechuja kwenye muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ mwishoni mwa wiki iliyopita alibambwa ‘laivu’ kwa mara ya kwanza katika kipindi kirefu akiwa ‘very close’ na mwanamuziki mwenzake, Ambwene Yessaya ‘AY’ wakiteta jambo.Wabongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ na Ambwene Yessaya ‘AY’ wakiteta jambo.
                                       ANKO SAM BLOG

Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment