Sunday, 12 October 2014

AJALI YATOKEA ENEO LA BAMAGA, DAR



Gari aina ya Nissan Navara lenye namba za usajili T 900 CEH likiwa eneo la Bamaga, Mwenge jijini Dar baada ya kugongana na daladala aina ya Coaster lenye namba za usajili T 869 AZU linalofanya safari zake kati ya Mwenge - Kariakoo jioni hii.



Daladala aina ya Coaster lenye namba za usajili T 869 AZU likiwa eneo la ajali baada ya kugongana na Nissan Navara.



Navara ikiwa eneo hilo la ajali

Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment