Jina la Mbunge wa Jimbo la Makadara Kenya, Mike Sonko sio jina geni, wengi tunamfahamu kutokana na vitu vingi ambavyo amekuwa akifanya ikiwa ni pamoja na aina ya maisha anayoishi na amekuwa akisifiwa kutokana na namna ambavyo amekuwa akiwajibika kwa wananchi wake anaowaongoza.
Stori kutoka Kenya ambayo imetawala vyombo vingi vya habari ni kuhusiana tukio la msichana kuchaniwa nguo na wanaume hadharani kutokana na kuvaa vibaya. Ujumbe aliouandika Sonko kutokana na tukio ulianza na sala hii; “…. Namuomba Mungu awasamehe wanaume wanaowachania nguo wasichana.. Namuomba awaeleweshe wote kwamba wasichana wa karne ya 21 wako kidijitali sana na tofauti… SOMA ZAIDI>>>>>>http://mbelwasamwel.blogspot.com/
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook
0 comments:
Post a Comment