Wednesday, 19 November 2014

SCOTLAND HOI KWA ENGLAND YAPIGWA BAO 3-1





Wachezaji wa timu ya England wakishangilia baada ya mechi yao dhidi ya Scotland kumalizika. Katika mchezo huo wa kirafiki wa kimataifa uliopigwa usiku wa kuamkia leo, England walishinda kwa mabao 3-1.
Alex Oxlade-Chamberlain akifunga bao la kwanza kwa England dakika ya 32 kipindi cha kwanza.
Kapteni wa Scotland, Scott Brown (kushoto) na wa England, Wayne Rooney (kulia) wakisalimiana kabla ya mechi.
Wayne Rooney akipongezwa na Danny Welbeck (wa pili kulia) na Chris Smalling (kushoto).

Mshambuliaji wa timu ya England, Danny Welbeck (katikati) akiwania mpira na Russell Martin (kulia).

Rooney akishangilia baada ya kufunga bao la tatu dakika ya 85 kipindi cha pili.
Wilshere (kulia) akiwatoka wachezaji wa Scotland.
ENGLAND imewalaza wenyeji Scotland mabao 3-1 katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku wa kuamkia leo.
Wafungaji wa mabao ya England, Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 32 na Wayne Rooney aliyefunga mabao mawili dakika za 47 na 85, wakati bao pekee la wenyeji lilifungwa na Andrew Robertson dakika ya 83.
Scotland: Marshall/Gordon dk 46, Whittaker, R Martin, Hanley/May dk 66, Robertson, Maloney, Mulgrew, Brown/D Fletcher dk 46, Anya/Bannan dk 61, C Martin/Morrison dk 46 na Naismith.
England: Forster, Clyne, Cahill/Jagielka dk 46, Smalling, Shaw/Gibbs dk 66, Oxlade-Chamberlain, Milner, Wilshere/Barkley dk 87, Downing/Lallana dk 46, Rooney na Welbeck/Sterling dk 46.
Matokeo mengine

FT Japan 2 - 1 Australia
FT Thailand 2 - 0 New Zealand
FT China 0 - 0 Honduras
FT Iran 1 - 0 South Korea
FT Slovakia 2 - 1 Finland
FT Belarus 3 - 2 Mexico
FT Greece 0 - 2 Serbia
FT Slovenia 0 - 1 Colombia
FT Austria 1 - 2 Brazil
FT Estonia 1 - 0 Jordan
FT Romania 2 - 0 Denmark
FT Ukraine 0 - 0 Lithuania
FT Hungary 1 - 2 Russia
FT Ireland 4 - 1 USA
FT Italy 1 - 0 Albania
FT Poland 2 - 2 Switzerland
FT Portugal 1 - 0 Argentina
FT Spain 0 - 1 Germany
FT France 1 - 0 Sweden

Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment