Kwa mujibu wa chanzo, mtangazaji huyo alikuwa na mwanamke ambaye anadaiwa kuhusishwa kuongoza tukio zima la wizi huo wa gari aina ya Spacio New Model lakini mwenyewe amekanusha.” Sikuwa na mwanamke, walionipora walinivamia na kunitupa maeneo ya Maryland, tayari nimeshafungua jalada katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay kwa uchunguzi zaidi,” alisema Njogopa.
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook
0 comments:
Post a Comment