Saturday, 18 October 2014

YANGA +SIMBA HAKUNA JIPYA EBU CHEKI PICHA ZA MCHUANO HAPA CHINI.......



Mashabiki wa Simba wakiingia kwa mbwembwe uwanjani kushuhudia mechi dhidi ya watani wao wa jadi Yanga, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam



Mashabiki wa Yanga wakikaguliwa kabla ya kuingia uwanjani katika mechi hiyo dhidi ya watani wa jadi







Mashabiki wa Yanga wakiingia kwa mashamu shamu kushuhudia mpambano dhidi ya Simba katuika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara





Okwi wa Simba akiomba dua kabla ya kuingia Uwanjani

Kikosui cha Simba kilichopambana na Yanga

Kikosi cha Yanga kilichopambana na Simba







Kipa Ivo Mapunda wa Simba akimpongeza Kipa kinda Manyika Peter wa Simba kwa kufanya vizuri katika mechi hiyo



Kipa wa Yanga Juma Kaseja akimp[ongeza Manyika Peter wa Simba



Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment