kijana mmoja mkazi wa Pasua mjini Moshi ambaye jina lake halikufahamika mara moja amenusurika kufa baada ya kupokea kipigo kitakatifu kutoka kwa wanachi wenye hasira kali,baada ya kuiba simu katika duka moja la mchele na kumpa mwenzake aliyefanikiwa kukimbia nayo. shukrani kwa askari waliokuwa karibu na eneo la tukio walioweza kumuokoa.
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook
0 comments:
Post a Comment