Saturday, 18 October 2014

PICHA ZA MAPOKEZI YA MENEJA WA T.I


 
Kutoka U S A mpaka bongo



Moja wa wakilishi wa cloudsmedia akiwapokea




Huyu ndie Jason Geter meneja wa T I












Jason Geter mbele ya camera ya clouds media group kwaajili ya interview















Nifuraha kubwa kwa wapenda burudani wote nchini na n'je ya nchi kwa ujio wa manager wa msanii mkubwa wakimataifa T. I kuwasili katika aridhi ya Tanzania kupitia uwanja wa ndege wa Taifa wa Mwalimu Julius Nyerere,furahiyo ni kwa sababu huu ni uthibitisho wa msanii huyo wa kimataifa kuja kwa ajili ya Serengeti Fiesta 2014 Dar es salaam jumamosi hii 18 oct 2014 pale pale ledears club.

Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment