Sunday, 19 October 2014

NAIBU WAZIRI MAKALLA AFANYA ZIARA YA KIKAZI PANGANI




Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akivuko katika Kivuko cha Mv Pangani akiwa katika ziara ya kikazi wilayani, Pangani, Tanga jana.


Naibu waziri maji na mbunge wa mvomero alihutubia wakati wa mahafali darasa la shule ya msingi Kichangani

Naibu waziri maji Amos makalla akizindua mradi maji kijiji cha Bweni wilaya ya Pangani

Naibu waziri maji Amos makalla akiwa na kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Pangani kushoto kwake ni mkuu wa wilaya Hafsa Mtesiwa

Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment