Friday, 17 October 2014

MWANASHERIA MPYA ZANZIBAR AAPISHWA.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein akimuapisha Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar

Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment