
Ni tukio la kusikitisha baada ya mwanafunzi kijichoma kisu kwa kile kinachodaiwa na mgogoro wa kimapenzi kwa mojibu wa mtandao wa Jamii froma wameandika taarifa hii ivi ......Kweli mapenzi ni kitu kingine kabisa. Mwanafunzi huyo ameamua kujichoma kisu kisa mapenzi. Amekufa jana mchana sababu alijichoma usiku wa kuamkia jana. Apumzike kwa Amani.
ANKO SAM BLOG
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook
0 comments:
Post a Comment