Sunday, 19 October 2014

MAITI YAOKOTWA KWENYE MAJI MACHAFU KARIBU NA KIWANDA CHA KAHAWA (COFFEE CURING), MKOANI KILIMANJARO







Maiti ya mwanaume huyo ukiwa umelazwa katika gari la Askari, baada ya kutolewa kwenye mfereji huo


Maiti ya Mwanaume anayekadirikiwa kuwa na Umri kati ya miaka 25-35, imeokotwa asubuhi ya leo katika Mfereji wa Maji ulioko jirani na kiwanda cha kukoboa Kahawa (Coffee Curing), maeneo ya Majengo Fire, wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro.


Baadhi ya wananchi wakishangaa maiti ya mwanaume huyo ambaye jina lake na wapi na chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana

Huu ndio mfereji ambako mwili wa mtu asiyejulikana ulikokutwa leo asubuhi.


Mwili hu ukipakizwa kwenye Gari



Wananchi wakishiriki kuupakiza mwili huo kwenye gari la Polisi.

Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment