Mmoja
wa washiriki wa Semina hiyo akielezea matarajio yake akiwa kama Mama
shujaa wa Chakula na Mkulima mwanamke Jinsi ambavyo wameweza kusaidiwa
na Oxfam kufikia malengo yao katika kilimo na kuwa wakulima Bora wenye
mfano wa Kuigwa
Mshindi
wa Maisha Plus 2012 Bernick Kimiro akitoa mchango wake Jinsi kilimo
kinavyo weza kumsaidia mwanamke na kufikia Malengo yake.
Mshindi
wa Mama shujaa wa Chakula 2014 , akiendelea kuchukua Maoni mbalimbali ,
Mchango na mawazo ya watu mbalimbali katika Mdahalo huo.
Oscar
Munga kutoka Forum CC akitoa ufafanuzi wa kina juu ya mahusiano ya
kilimo na mabadiliko ya Tabianchi, Pia alizungumzia ni namna gani watu
wanaweza kujikomboka katika kilimo na kuendana na Mabadiliko ya
Tabianchi.
Balozi
wa Oxfam kupitia kampeni ya GROW Khadija Mwanamboka akielezea umuhimu
wa kilimo bora na uwezeshaji wa wanawake katika kupata haki za Ardhi
lakini pia jinsi gani Mwanamke anaweza kujikomboa katika kilimo na kuwa
wanawake wanahaki sawa katika swala zima la kumiliki Ardhi.
Wa
kwanza kulia ni mmoja wa aliyekuwa mshiriki wa Mama Shujaa wa Chakula
2014 kutoka Zanzibar akitoa Mchango wake kuhusu Umiliki wa Ardhi na
kuelezea jinsi gani wanawake wasivyo na haki ya Ardhi hiyo, na kuomba
kwamba nao ni binadamu na wanahaki sawa ya kumiliki ardhi hiyo.
ANKO SAM BLOG
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook
0 comments:
Post a Comment