EANDRA Becerra ambaye ndiye mwanamke mzee zaidi kuliko wote Duniani
kwa sasa,ametimiza umri wa miaka 127.Becerra ambaye ni raia wa
Mexico amebaki na mtoto mmoja tu kati ya sita aliokuwa nao,Bibi huyo
ambaye anatembelea baiskeli ya miguu miwili kutokana ya kuwa awezi
kutembea vizuri,kulingana na maelezo ya mwanae bibi huyo anatumia muda
mwingi kulala na afya yake iko vizuri tu.Kulingana na tuzo za Guinness
kwa sasa inashikiliwa na Jeanne Louise wa Ufaransa ambaye aliishi mpaka
miaka 122.
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook
0 comments:
Post a Comment