Monday, 13 October 2014

HABARI PICHA: BABA YAKE RICHIE AZIKWA JIJINI DAR










Jeneza lenye mwili wa baba yake Single Mtambalike ‘Richie’ likiombewa dua kabla ya mazishi leo katika Makaburi ya Segerea Dar.





Waombolezaji wakielekea katika Makaburi ya Segerea Dar.(P.T)




Msanii wa Bongo Muvi, Haji Adam 'Baba Haji' (katikati) akiwa na msanii wa kitambo wa maigizo, Raymond Allen 'BishangaBashaija' (kulia) wakiwa Makaburi ya Segerea Dar.



Msanii Mrisho Mpoto (wa pili kutoka kushoto) na Banana Zorro ( wa tatu kutoka kushoto) wakiwa msibani.



Richie Mtambalike akiwa na rafiki yake wa siku nyingi msanii Raymond Allen 'Bishanga Bashaija' (kulia).





Mazishi yakiendelea katika Makaburi ya Segerea Dar.



Msanii Richie akitoka kaburini kumzika baba yake.



Baadhi ya wasanii wa Bongo Muvi wakiwa msibani, Rose Ndauka (kushoto), Brenda Marembeka 'Kunguru' (katikati) na JacquelinePentezel 'Jack wa Chuzi'(kushoto).

Hatimaye baba wa msanii wa filamu, Single Mtambalike ‘Richie’, amezikwa leo katika Makaburi ya Segerea Dar. Alifariki jana, Tabata, Dar.

ANKO SAM BLOG

Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment