Monday, 20 October 2014

GARI LAGONGANA NA BAJAJ, YASABABISHA FOLENI SINZA DAR



Gari lililogongana na Bajaj likiwa kando ya barabara.


Bajaj iliyogongana na gari.
Watu wakiishangaa Bajaj iliyogongwa.
Sehemu ya foleni iliyosababishwa na ajali hiyo. KAMERA ya GPL imenasa ajali iliyotokea leo maeneo ya Sinza- Palestina, jijini Dar es Salaam, ambapo gari na Bajaj yaligongana na kusababisha foleni ndefu.

Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment