Fumanizi Mchungaji Hii ndio Video ya Mchungaji aliyenaswa akila URODA na Muumini wake
Wakaazi wa eneo la Rosters jijini Nairobi walishuhudia kioja si haba wakati mchungaji wa kanisa moja liliko mtaani pumwani alipofumaniwa na mke wa wenyewe kwenye tendo la ndoa.
Hata hivyo, mchungaji huyo alijitetea kuwa alikuwa kwenye pilkapilka za kutoa huduma. Mwanahabari LoftyMatambo anamshike mshike huo.
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook
0 comments:
Post a Comment