Wednesday, 29 October 2014

ANGALIA PICHA ZA TRENI ILIYOANGUKA LEO VINGUNGUTI







Tren yaangusha behewa maeneo ya vingunguti reli imeharibika vibaya ffu wameshafika eneo la tukio watu wanakula bakora mtindo mmoja hatakiwi MTU eneo hilo kulikua na kontena za mohamed


enterprises na Azam. Angalia Picha. CHANZO NI KUKATIKA KWA PINI LOCK AMBAYO IKASABABISHA JANGA HILO.
















Links to this post

Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment