Saturday, 25 October 2014

ANGALIA PICHA ILIVYOKUA BAADA YA WAZIRI KURUSHIANA RISASI NA MWANAE





Polisi wakiwasili eneo la tukio ofisi za Faraja Trust Fund zinazomilikiwa na Mh Lucy Nkya ambapo tukio hilo lilitokea leo asubuhi.

Jonas Nkya Mtoto wa kwanza wa Mh Dr Lucy Nkya

Jonas akihojiwa na waandishi wa habari kuhusiana na tukuo hilo. Muda mfupi uliopita

Mhe Dr Lucy Nkya Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki

Mhe Dr Lucy Nkya akizungumza na Waandishi wa habari muda mfupi uliopita ofisini kwake Faraja muda mfupi uliopita.

Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment