Saturday, 18 October 2014

AJALI YATOKEA MKOANI MOROGORO BAADA YA LAND CRUSER KUGONGANA NA SCANIA





Gari aina ya Land Cruser lenye namba za usajili T 985 CYZ ambayo ni mali ya chama cha CCM likiwa limeharibika upande wa mbele baada ya kugongana na roli la mizigo mkoani Morogoro. Pia katika ajali hii hakuna mtu aliyefariki.


Wasamalia wema wakilitoa gari dogo barabarani kwa ajili ya kuondoa foleni iliyokuwepo eneo hilo





PICHA NA CCM BLOG

Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment