
Gari aina ya Hiace ambayo ni daladala yenye namba za usajili T769 AFP imedondokewa na Kontena ambalo lilikuwa limebebwa kwenye lori huko Yombo Vituka Mwisho wa Lami, Ajali hii imetokea muda mfupi tu uliopita na kupelekea hofu ya kupoteza abiria wote waliokuwamo katika Daladala hiyo
Ripota wetu anaendelea kutafuta habari kutoka eneo hilo la tukio.Picha na Mdau wa Lukaza Blog Samora Julius
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook
0 comments:
Post a Comment