Tuesday, 9 September 2014

Mwaka wa Shetani_ MABASI YA SIMBA MTOTO NA DAR EXPRESS YAGONGANA HUKO TANGA


Pichani ni mabasi mawili ya Simba Mtoto na Dar Express yakiwa yamepigana pasi maeneo ya Muheza mkoani Tanga mchana wa leo.

Haijafahamika mara moja madhara ya ajali hii wala chanzo chake kwa kuwa ripota wetu hakubahatika kumpata msemaji wa polisi.

Hata hivyo tunaendelea na juhudi za kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga kwa taarifa zaidi. Tuendelee kuvuta subira.

Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment