Mrembo huyu na mshindi wa pili (1st Runner) wa Redds Miss Tabora 2014. Kipaji chake kiliibuka kupitia shindano hilo kwa kuimba nyimbo za wasanii wengine. Baibe Lizy ameamua kukiendeleza kipaji hiki na sasa ni wakati wenu Watanzania kumpokea. Producer ni Eizer Bitz na Nusder
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook
A
0 comments:
Post a Comment