
Siku
moja baada ya makamu wa rais Dkt Mohamed Ghalib bila kuhimiza mahusiano
mema wakati wa utendaji kazi baina ya vyombo vya ulinzi na usalama na
vyombo vya habari
,jeshi la polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa limekiuka kauli hiyo
kwa kuwapiga na kuwajeruhi baadhi ya waandishi wa habari na kuwazuia
kutekeleza wajibu wao wakati mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo Chadema alipowasili katika makao makuu ya jeshi hilo kwa
mahojiano.

Kivumbi
hicho kilitokana na Jeshi la Polisi kutaka kuzuia maandamano
yaliyotangazwa na Chadema mikoa yote nchini bila kikomo kwa lengo la
kupinga kuendelea kwa vikao vya Bunge Maalum la Katiba (BMK)
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook
0 comments:
Post a Comment