Ni
mapenzi kwa timu ya taifa ya nchi yake ndiyo yaliyosababisha Kapombe
amwage machozi kwani licha ya kujitaidi kwa hali na mali kunusuru kipigo
lakini ilishindikana. Marefa wa Kiganda walichangia kwa kiasi kikubwa
kuua ndoto za ushindi kwa timu ya Tanzania. Kwahiyo hadi mwisho wa
mchezo Tanzania 1 na Msumbiji 2. Tanzania wajipange sasa kwani kwa mtaji
huu kimeshanuka.
![]() |
| Samatta nae kama Kapombe chozi chapa chapa |
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook


0 comments:
Post a Comment