Mashabiki
wakiingia katika uwanja wa New City Pub kushuhudia Kili Music Tour.
Zembwela na
Dulla wa EATV katika amsha amsha kabla ya show kuanza.
Mkali kutoka
Mbeya Izzo Bizness ndani ya backstage.
Chibwa anaefanya
miondoko ya Ragga ndie aliifuungua show ya Kili Music Tour Mbeya.
Shilole
akionyesha uwezo wake wa kulishambulia jukwaa ikiwa ni pamoja na
kumpandisha jukwaani mmoja wa mashabiki.
Backstage: AY na
DJ wake Arthur
Rich Mavoko
na madansa wake stejini
Mashabiki
wakifurahia wasanii wanavyolishambulia jukwaa.
Massawe na
Kimario kama wanavyopenda kuitwa waliendeleza utamaduni wao wa
kufanya show kwa pamoja katika Kili Music Tour.
Wadau
wakifuatilia kinachojiri jukwaani toka pembeni ya jukwaa la Kili
Music Tour.
Mtoto wa
nyumbani Izzo Bizness akiiwakilisha Mbeya katika Kili Music Tour
Shangwe la
kutosha kwa mtoto wa nyumbani
Profesa Jay
akimbulisha Mbunge wa Mbeya Mjini Mheshimiwa Joseph Mbilinyi, Sugu.
Mtangazaji wa
Planet Bongo, Dullah hakuwa nyuma katika kuchukua matukio
yanayoendelea jukwaani.
DJ Mafuvu katika
mashine akihakikisha wasanii na mashabiki wanakwenda sawa.
Zamu ya Weusi
na Viburi kuifunga show ya Kili Music Tour, Mbeya
Mashabiki
wakionyesha love ya kutosha kwa Weusi.
ANKO SAM BLOG.
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook



























0 comments:
Post a Comment