
Mchezaji wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo amechaguliwa leo kuwa mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Ulaya (UEFA), KWA MWAKA 2014/15, wakati wa kupanga makundi ya timu zitakazoshiriki mashindano ya UEFA. Amekabidhiwa tuzo ya mchezaji bora.
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook
0 comments:
Post a Comment