Akizungumza na mtandao huu kabla hajakabidhi msaada huo, Diamond alisema kuwa kikubwa zaidi kilichomfanya hadi atoe msaada huo ni kuguswa na maisha wanaoishi yatima hao.
“Unajua siku zote Mungu anasema unachokipata ugawane na wenzako, sasa mimi pamoja na meneja wangu Joffrey a.k.a Joff tumeona tutoe nusu ya kile tulichokipata kwa hawa ndugu zetu wanaolelewa katika kituo hiki,” alisema Diamond.
Baadhi ya mizigo ambayo ilitolewa kama msaada katika kituo hicho ikiwa bado haijashushwa kwenye gari.
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook
0 comments:
Post a Comment