
Chuo kikuu cha kilimo nchini China kinatarajia kumtunuku Shahada ya juu ya U-profesa Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Bila shaka ni kwa kutambua mchango wake wake mkubwa kwa mapinduzi makubwa ya kilimo nchini.
Hongera PROFESSOR JAKAYA KIKWETE.
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook
0 comments:
Post a Comment