Njemba aliyetajwa kwa jina moja la Jose akivuja damu baada ya kipigo.Msala huo wa aina yake ambao ulivuta umati mkubwa ulijiri wikiendi iliyopita maeneo ya Makumbusho jijini Dar baada ya kijana huyo kuwekewa mtego na kukutwa na mke wa mtu akimsomesha.
Adabu ishike mkondo wake! Njemba aliyetajwa kwa jina moja la Jose amejikuta akichezea kichapo ‘hevi’ kilichomsababishia kuvunjika pua kwa tuhuma ya ukuwadi wa mke wa mtu, .
Kijana Jose akiondolewa eneo la tukio asije kuumizwa zaidi.Kwa mujibu wa jamaa waliomwekea mtego Jose
ANKO SAM BLOG
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook
0 comments:
Post a Comment