Tuesday, 21 October 2014

NILIPENDWA NA MADEM WAWILI LAKINI MMOJA NI.........



Habari wadau, Nina girl friend wangu ambae tumetoka mbali inafika miaka minne toka tuko chuo, sasa nipo wakati mgumu baada ya kupata kazi na kukutana na

demu mwingine ambae alinipenda nakujikuta nimeazisha nae uhusiano, na kitu cha kuniumiza zaid huyu demu wangu mpya ni mkali zaid ya yule wa mwanzo, na anataka tuishi wote kwake alipopanga, sasa girl friend wangu wa kwanza akija inakuwaje yeye anaishi zanzibar..... naomba ushauri wadau

Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment