
Marehemu Yesaya Ambilikile (YP) ambaye aliaga dunia usiku wa kuamkia leo kwa kusumbuliwa na maradhi ya kifua, YP ameaga dunia akiwa analiwakilisha kundi la TMK Wanaume Family na anatarajiwa kuagwa kesho pale TCC Chang’ombe na baadae kwenda kupumzishwa katika makaburi ya Chang’ombe karibu na maduka mawili majira ya saa kumi za jioni.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI
AMIN
ANKO SAM BLOG
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook
0 comments:
Post a Comment